Fulsa kwa wawekezaji wa ndani kwenye MitiBiashara

Karibu kwenye warsha ya Kilimo cha Miti ya Biashara.

Wapi: Seashells Millennium Hotel Millennium Towers (DSM)

Lini: Tarehe 18 Mei, 2019.

Muda: Kuanzia saa 2:00 Asubuhi hadi saa 10:00 jioni.

Waandaaji: African forestry na Forestry Development Trust.

Tafadhali thibitisha ushiriki wako kabla ya tarehe 17 Me I, 2019 kupitia Simu na. 0766 210 066 / 0689 164 404.