Let discuss on the cost for Pines farm Establishment against Revenue

Naona kuna shida kubwa kwa sisi wakulima kuweza kufahamu ni kiasi gani cha fedha na nguvu tunazotakiwa kuziweka katika uwekezaji lakini pia ni kiasi gani tunatarajia kupata wakati wa mavuno?

Naomba wataalamu wetu pia watusaidie katika hizi hesabu mimi nimejaribu kuziweka kutokana na uzoefu wangu katika mashamba yangu ya Miti huku LUPEMBE, Njombe.

Pakua hili faili kwa undani zaidi.

Cost-for-Pines-farm-Establishment-against-Revenue-New.xlsx (11.5 KB)

3 Likes

Lupembe ni pazuri sana kwa miti, nitafutie hata heka 20 hapo aisee!

1 Like