Matumizi ya Mbegu Bora za Miti

Karibu kwa ajili ya kujifunza na kupata elimu zaidi juu ya matumizi ya mbegu bora za miti.

“Usipande Miti Lima Miti”

1 Like

Usipande Miti, Lima Miti safi sana kwa mwendo huu hado 2030 Tanzania itakuwa na ustawi wa hali ya juu sana.

Tuendelee kuwekeza kwenye kilimo biashara chenye tija.

1 Like

Jamani nimekutana na mdau anatafuta mbegu za mwarobaini dume, wadau mnisaidie ni aina gani ya mti hii?

1 Like

Huu utakuwa ule mwalobaini wenye majani membamba na sio mcungu kama ule jike unaotumika kwa dawa na ni mchungu sana.

Hahahaaaaaaa, mi nimeshindwa hata kujua tofauti ya hii miti