Mbegu bora za miti

Kumekuwepo na mkanganyiko kuhusu mbegu bora za miti, nitajuaje kama mbegu nilizonunua ni mbegu bora ? kuna alama yeyote kwenye kifungashio au kuna maduka maalum yanayouza ?

1 Like

Nilihudhuria kikao kimoja Njombe na kugundua kuwa mbegu bora zilizo kwenye Soko ni za kampuni moja ya Jambe. Na pia zinapatikana TFA kadhaa kwa packs maalum. Bahati nzuri, namba yao nilipata. Nadhani wanaweza kutoa ufafanuzi

1 Like

Wanaweka kutoa ufafanuzi na kama uwatikaji maelezo ya zia day usilete kupata namna 0759069399 kwa ufafanuzi zaidi au wasiliana kwa kutumia forum hii kwa kuainga" Ask the Experts "

Masahihisho: wanaweza, unahitaji, ziada, unaweza, namba

Asante ndugu ingekuwa vizuri kama ungenitumia picha ya pakti nione inaonekanaje, wajanja wengi siku hizi mimi nataka mbegu bora kutoka jambe, nimeona zinafanya vizuri mashambani

1 Like

Picha ni kama inavyoonekana kwenye tangazo linalopita kulia kwenye hili jukwaa mdau

1 Like

Mimi ni mgeni katika forum.naomba hints kuusu miti ya teak

1 Like