Mkulima wa miti-Uandaaji sahihi wa kitalu cha Miche

Pakua kitabu cha Mkulima wa miti kuhusu kitalu cha miche ya miti.
FDTmodule-2-v2.pdf
(2.9 MB)

2 Likes

Nilikua natafuta hii elimu ya kuanzisha kitalu, asante kwa kutupia kitabu hiki kazi nzuri sana ngoja nisome, nijiongezee ujuzi,

1 Like

Karibu sana,
Pia unaweza kuangalia video ya elimu hii hapa kwenye forum au kupitia link hii Maandalizi ya Kitalu cha miche ya miti - Module 2- Video

1 Like

Elimu poa sana hii

Mbarikiwe.

2 Likes

Yaani kwanini hamkuleta mapema hii elimu? safi mno.

2 Likes