Mkulima wa miti-Uanzishaji wa Shamba la miti
Kweli mkulima wa miti.
Nimekipenda hivi naweza pata kitabu cha miparachichi?
Asante sana kwa maelezo mazuri juu ya uanzishwaji wa shamba la miti kupitia kitabu cha macho kodo, na mimi nitaanza kufanyia kazi changamoto ipo kwenye moto, nikisema neno moto nakata tamaa kabisa ya kupanda miti, kuna namna naweza kupata kitabu kinafundisha jinsi ya kudhibiti moto ?
Pole sana kwa kupata majanga ya moto, yaani hili ni tatizo wetu sote hivyo jitihada za uhakika zinahitajika kukabiliana na hili.
Kwa upande wangu naunga mkono mfumo wa kuwezesha kamati za vijiji ili kuwa na uwezo wa kukabiliana na moto unapotokea.
Tatizo ni kwamba baadhi ya vijiji haswa ninapotoka mimi, hizi sheria za moto ni kama hazina meno kabisa wahusika wanaosababisha moto na pengine ushahidi umetolewa lakini hatua hazichukuliwi dhidi yao, nikitazama hali hii inanikatisha tamaa kabisa kuhusu kuisha kwa majanga ya moto.
Ni bora nikazane kukinga janga lisitokee ksbisa.