Shamba la miti kama dhamana

Nataka kufufahamu kuwa shamba la miti linaweza kutumika kama dhamana katika mabenki unapotaka kukopa fadha?

3 Likes

Hili neno ni zuri sana masikioni mwa wakulima wa miti ila sasa ukienda huko benk unakumbana na vikwazo vingiii.

Sijui wenzangu huko kama wanafaidika na mikopo hiyo?

Hope wazoefu watakuja kutufungua macho kwenye hili,