Shamba la miti linauzwa

Nina shamba langu la miti liko matola, lina ekali moja na nusu nina tafuta mteja mnaweza kunisaidia kupata mteja ? lina miti mikubwa

Mdau tunaweza kuona picha ya shamba husika?

Ngoja nijitahidi kutuma picha, kweli bwana nilisahau ilibidi nitume picha, vipi mnanunua na mbuzi nitume na picha.

Tuambie hill shamba liko wapi na ni kubwa kiasi gani na lina miti ya aina gani yenye umri gani. Nashauri utume picha ya hill shamba na bei ikiwezekana

Miti ya umri gani na inaenda kwa bei gani kwa mti au kwa ekari?

@Pamera tunasubiri picha kidogo na maelezo ya umri wa miti na aina ya miti kwenye shamba lako.

Bei ndiyo itatuongoza kupata mteja. Kama unaficha bei yake itakuwa vigumu kupata Wateja. Kuwa muwazi kwenye biashara, wengi tulikushauri utume picha ya hilo shamba.