Shamba la miti/ pines lenye hati linauzwa

Shamba la miti/ pines lenye hati linauzwa.
Ukubwa – Ekari 61
Umri wa miti – Miaka 10
Eneo – Makete, Km 12 kutoka Ikonda Stand
Lina hati ya kijiji ya mwaka 2010.
Bei – Maelewano
Mawasiliano – nurumode@gmail.com, 0784301520.
@Machokodo tafadhali njoo kwa assist

2 Likes

Makete ni sehemu nzuri sana kwa kilimo cha miti, vp unaweza kukadiria kwa wastani kila ekari inaweza kuwa na miti kiasi gani na ilipandwa kwa nafasi ipi kati ya mti na mti

2 Likes