Shamba zuri kwa miti linauzwa kijiji cha Kifanya-Njombe

Habari wadau kuna shamba zuri kwa upandaji wa mitibiashara linauzwa, lipo kwenye barabara ya kwenda Songea kutoka Njombe mjini katika kijijij cha Kifanya.

Karibu sana kwani bei ni sawa na bule na bado msimu wa upandaji haujaisha hivyo unaweza kulipanda ndani ya msimu huu.

Lipo karibu sana na barabara kuu kama 1.5km kutoka barabara ya rami.
Mawasiliano: 0756927902

3 Likes

@kabago, shamba ni kubwa kiasi gani mkuu?

1 Like

Zipo heka TATU mkuu karibu sana.

1 Like

Shs ngapi hilo shamba?