Swali kwa wadau wa Mitibiashara forum

Nitachagua kupanda parachichi kwa kuwa nitaanza kupata kipato baada ya miaka mitatu tu na kuendelea, miti inalipa ila inachukua muda zaidi na ukivuna ni mpaka upande tena, labda kama utakuwa umepanda miti inayo sprout kama eucalyptus

2 Likes