Taarifa muhimu: kuhusu uvamizi wa nzige wa jangwani africa ya mashariki

1 Like

Nashukuru kwa taarifa ya nzige, nacho furahi nchi jirani Uganda na Kenya wameanza kupambana na hiyo hali siku nne zilizopita Uganda wamepewa ndege moja kwaajili ya kupambana na hao nzige.

Inabidi nasisi tanzania tujipange sawasawa kudhibiti wasiingie kabisa nchini.

1 Like